text Materials
Kati ya Baraka na Laana

Download Attachment (PDF) Download Attachment Wordx


Kati ya Baraka na Laana

 

Utangulizi

Nilitarajia kuchukua maandishi ya Yoshua kwa somo hili katika mlango wa 9. Walakini, nilipotazama tena mlango wa 8, nikagundua kulikuwa na tukio muhimu baada ya kushindi Ai ambalo hatupaswi kuruka.

Baada ya Israeli kufuata mpango wa Mungu wa kushinda Ai, ambamo waliwauwa wenyeji 12,000 wa jiji hilo, Yoshua aliwachukua watu umbali wa maili 30 kaskazini hadi bonde la Shekemu ambalo liko kati ya Mlima Ebali na Mlima Gerazim.

Jambo la kwanza niligundua hapa lilikuwa ya kwamba ...

 

I. Kulikuwa na ahadi iliyohitajiwa kutimizwa

Katika Shekemu:

A. Abrahamu alijenga madhabahu - Mwanzo 12: 6-7

Mahali hapa palikuwa na umuhimu mkubwa kwa Waisraeli tangu Abrahamu alipotembelea hapo na kumjengea Bwana madhabahu. Ilikuwa mahali hapo ambapo Mungu alithibitisha ahadi yake ya kuwapa wazao wake nchi (Mwanzo 12: 6-7).


Mwanzo 12: 1-7




...... ...... ...... 



Current Raiting:
tick image
To leave a comment, log in